PENNY KUSHIKA UJAUZITO: DIAMOND KUMNUNULIA GARI LA MILLIONI 50 PENNY

3:59 AM

LADIES AND GENTS....HERE WE GOOOOOOO!!!!
MKALI wa Muziki wa Kizazi Kipya Nchini Maarufu kama Bongo Flava, Nasib "Diamond Platnumz" Abdul, yuko Mbioni kumnunulia Gari Mpenzi wake Penny Mungilwa maarufu kama DVJ Penny ambaye hivi sasa ni Mjamzito

Mkoko huo ambao utagharimu kiasi cha Shilingi za Kitanzania Millioni 50, utakuwa ni HUNDAI IX 35 ambao Penny ambaye pia ni Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha DTV, atautumia kwa ajili ya Mizunguko ya hapa na pale ili kuepuka usumbufu hasa katika kipindi hiki cha Ujauzito

Platnumz ambaye hivi sasa anatesa na Kibao cha Kesho amedai kuwa, baada ya kukiri uvumi uliokuwa umezagaa kuwa Penny ni Mjazito katika Kituo kimoja hivi cha Radio,  umeshaagizwa, na unasubiriwa kudondoka muda wowote katika ardhi hii ya 255


PICHA: Hii Ndio MODEL ya Mkoko atakaopewa Penny...


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

PSPF

NMB - TRA